Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI SALA EID AL ADHA

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI SALA EID AL ADHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam Juni, 17 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Dua ya pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam Juni,17 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam Juni, 17 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here