Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA APOKEA TAARIFA YA TUME YA HAKI JINAI

RAIS DK.SAMIA APOKEA TAARIFA YA TUME YA HAKI JINAI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Juni, 15 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Kamati ya Kuunda Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue. Hafla ya upokeaji wa Taarifa hiyo imefanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Juni, 15 2024

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here