Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA ADANI GROUP

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA ADANI GROUP

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Adani Group kutoka nchini India Gautam Adani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Juni, 14 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Adani Group kutoka nchini India Gautam Adani mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Juni, 14 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here