Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA UKIFUATILIA BUNGE LA BAJETI KUU YA SERIKALI MWAKA 2024/25

RAIS DK.SAMIA UKIFUATILIA BUNGE LA BAJETI KUU YA SERIKALI MWAKA 2024/25

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wasaidizi wake wakati akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2024/25 kwa njia ya runinga nyumbani kwake Chamwino Mkoani Dodoma. Hotuba hiyo ilikuwa ikisomwa bungeni na Waziri wa Fedha,Dk. Mwigulu Lameck Nchemba Juni,13 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here