Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA UGOMBEA URAIS MSUMBIJI

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA UGOMBEA URAIS MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo wakati alipofika Ikulu Mkoani Dodoma Juni,12 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Mkoani Dodoma Juni, 12 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here