Home KIMATAIFA RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO JAMHURI YA KOREA

RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO JAMHURI YA KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) kwenye Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul Juni,5 2024.

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul Juni,5 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea Juni,5 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na mmoja wa Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea Juni, 5 2024

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here