Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika. Mkutano huo ulifanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea Juni, 5 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika ambao umefanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea Juni,5 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Tanzania na Jamhuri ya Korea ambao walihudhuria Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika, Westin Josun Jijini Seoul, Juni, 2024