Home KIMATAIFA RAIS DK.SAMIA AMEFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KOICA

RAIS DK.SAMIA AMEFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KOICA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) Chang Won Sam katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea Juni, 4 2024 ambapo wamezungumzia namna ya kuendeleza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo na maeneo mapya ya kuwekeza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA), Chang Won Sam katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea Juni,4 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here