Home KIMATAIFA RAIS DK.SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KOREA NA AFRIKA

RAIS DK.SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA KOREA NA AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea Juni, 4 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Viongozi mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea Juni,4 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Korea na Afrika Juni, 4 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here