Home KIMATAIFA RAIS DK.SAMIA ATUNUKIWA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA

RAIS DK.SAMIA ATUNUKIWA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea June,3 2024. Wa kwanza kushoto ni Amidi wa Shule Kuu Soo Chang Hwang

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here