Home KITAIFA DK.NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATA YA MATAVES

DK.NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATA YA MATAVES

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Kata ya Mataves, katika eneo la Kitongoji cha Kisongo, Kijiji cha Ngorbob, Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, na kusikiliza kero zao na kuzitafutia majawabu, ambapo pia alizindua Shina la Wakereketwa wa CCM Akinamama Wajasiriamali wa Soko la Kisongo, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani humo, leo Jumapili Juni 2, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here