Home KITAIFA SERIKALI YENU IPO IMARA-MAJALIWA

SERIKALI YENU IPO IMARA-MAJALIWA

Geita

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Swrikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ipo imara na inaemdelea kutekeleza miradi ya kimkakati

Amesema utekeleza wa miradi hiyo utawawezesha wananchi kutekeleza majukumu yao kikamilifu na kushiriki katika shughuli za kujiingizia kipato.

Amesema hayo leo Juni 02, 2024 wakati akizungumza na wananchi wa mji mdogo wa Katoro uliopo mkoani Geita.

“Miradi hii ni ile ya huduma za kijamii ambayo watanzania, wanakatoro kila siku lazima muiguse, Serikalo imejikita hapo,”amesema

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here