Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA KOREA YOON ...

RAIS DK.SAMIA APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA KOREA YOON SUK YEOL

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea Yoon Suk Yeol mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul kwa ajili ya mazungumzo na kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali Juni, 2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Korea mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul Juni,2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea, Yoon Suk Yeol kabla ya kuanza mazungumzo yao katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul Juni, 2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Jamhuri ya Korea iliyopo Jijini Seoul Juni,2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea, Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul Juni, 2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea, Yoon Suk Yeol kabla ya kushuhudia hafla ya utiaji saini Mikataba mbalimbali baina ya nchi mbili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Seoul Juni, 2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Korea ,Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tJuni, 2 2024.

Shamrashamra za Mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Nchi ya Jamhuri ya Korea Jijini Seoul Juni, 2 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here