Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFANYA KIKAO MAALUM WAWEKEZAJI NA WAMILIKI WAKUBWA WA KAMPUNI KOREA

RAIS DK.SAMIA AFANYA KIKAO MAALUM WAWEKEZAJI NA WAMILIKI WAKUBWA WA KAMPUNI KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiangalia picha maarufu zenye taswira yake muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao maalum na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, Juni, 2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MSamia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, Juni, 2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifuatilia na kusikiliza kwa makini mazungumzo na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea wakati wa hafla maalum ya chakula cha jionikilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, Juni,2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Ujumbe wake wakati wa mazungumzo na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea. Mazungumzo hayo yaliambatana na hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wamiliki hao jijini Seoul, Juni, 2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipiga makofi kuashiria kukubaliana na jambo wakati wa kikao maalum cha kazi kilichoambatana na hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea, Juni, 2 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here