Home KITAIFA DK. BITEKO AKIPANDA MTI IKIWA NI SEHEMU YA MAADHIMISHO...

DK. BITEKO AKIPANDA MTI IKIWA NI SEHEMU YA MAADHIMISHO WIKI YA MAZINGIRA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akipanda mti katika maktaba ya Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji kilichopo Mbeya leo Juni 2, 2024 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Mazingira.

Shughuli ya upandaji mti ni sehemu ya shamrashamra za Hafla ya kuwekwa wakfu Askofu Mteule Mchungaji Robert Yondam Pangani wa Kanisa la Moravian Tanzania, Jimbo la Kusini Magharibi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here