Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ATEMBELE KITUO CHA MAARIFA YA KIDUNIA NA MAENDELEO

RAIS DK.SAMIA ATEMBELE KITUO CHA MAARIFA YA KIDUNIA NA MAENDELEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtafiti wa Kituo cha Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo (GKED)Hyerin Byun kuhusu safari ya Mafanikio ya Nchi ya Jamhuri ya Korea wakati alipotembelea Kituo hicho kilichopo Seoul nchini humo Juni, 1 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtafiti wa Kituo cha Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo (GKED)Hyerin Byun kuhusu safari ya Mafanikio ya Nchi ya Jamhuri ya Korea wakati alipotembelea Kituo hicho kilichopo Seoul nchini humo Juni, 1 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya video fupi kuhusu Teknolojia ya Kisasa wakati alipotembelea Kituo cha Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo (GKED) kilichopo Seoul katika nchi ya Jamhuri ya Korea Juni, 1 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Maendeleo ya Korea Dk. Dong Soo Kang wakati wakitazama video fupi kuhusu safari ya maendeleo ya nchi ya Jamhuri ya Korea mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo (GKED) kilichopo Jijini Seoul Juni, 1 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Maendeleo ya Korea Dk. Dong Soo Kang katika picha na Mawaziri alioambatana nao pamoja na Balozi wa Tanzania katika Nchi ya Jamhuri ya Korea Togolani Mavura mara baada ya kutembelea Kituo cha Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo (GKED) kilichopo Jijini Seoul tarehe Juni, 1 2024.

Baadhi ya Televisheni, Typewriter na Simu za mezani zilizotumika zamani katika Nchi ya Jamhuri ya Korea zikiwa zimehifadhiwa kwenye Kituo Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo (GKED) kilichopo Jijini Seoul Juni, 1 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here