Home BURUDANI RAIS DK.SAMIA AMEPOKEA ZAWADI YA CD ZENYE BAADHI YA FILAMU ZA KOREA...

RAIS DK.SAMIA AMEPOKEA ZAWADI YA CD ZENYE BAADHI YA FILAMU ZA KOREA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi ya CD zenye baadhi ya Filamu zilizochezwa na Watayarishaji maarufu wa Jamhuri ya Korea mara baada ya kuzungumza nao Jijini Seoul Juni,1 2024. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ajili ya ziara rasmi ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Waandaaji wa Filamu na Waigizaji wa Tanzania mara baada ya kukutana nao Jijini Seoul Juni, 12024. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ya ziara ya kikazi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here