Home KITAIFA MAJALIWA AWASILI TANGA KITAIFA MAJALIWA AWASILI TANGA By Esther Mnyika - May 31, 2024 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili Mei 31 2024 mkoani Tanga ambapo atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu, yanayofanyika katika viwanja vya shule ya sekondari ya Popatlal.