Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AAPISHA WAJUMBE WA TUME YA MAENDELEO YA TAIFA

RAIS DK.SAMIA AAPISHA WAJUMBE WA TUME YA MAENDELEO YA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Mei, 29 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Profesa Kitila Alexander Mkumbo kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Mei, 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ombeni Yohana Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Mei, 29 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dk. Balozi Asha-Rose Migiro kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Mei,29 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ami Ramadhani Mpungwe kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Mei, 29 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Omar Issa kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Mei, 29 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania M Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi pamoja na Wajumbe wa Tume ya Mipango mara baada ya kuwaapisha Wajumbe wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Mei, 29 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Mipango mara baada ya kuwaapisha na kuzungumza nao katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Mei, 29 2024. Lengo la Tume hii ni kusimamia uchumi, mchakato wa upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Taifa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here