Home BURUDANI RAIS SAMIA ASHUHUDIA UZINDUZI WA ALBAM YA MUZIKI WA MAMA

RAIS SAMIA ASHUHUDIA UZINDUZI WA ALBAM YA MUZIKI WA MAMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Msanii wa Bongo Flavour Rajab Abdul aka Harmonize mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama Mei, 25 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Msanii wa Bongo Flavour Rajab Abdul aka Harmonize mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama Mei, 25 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mama Mzazi wa Msanii wa Bongo Flavour Harmonize, Habiba Baisa Chivalavala wakati wa uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Mei, 25 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipiga makofi wakati wa uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama  kutoka kwa Msanii wa Kizazi Kipya Rajab Abdul aka Harmonize katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Mei, 25 2024.

Msanii wa Kizazi Kipya Rajab Abdul aka Harmonize akitumbuiza katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam wakati wa Uzinduzi wa Albamu yake ya Muziki wa Mama Mei, 25 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia Wageni mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama kutoka kwa Msanii wa Kizazi Kipya Harmonize katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Mei, 25 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ukumbi wa Mlimani City kushuhudia uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama ya Msanii wa Kizazi Kipya Rajab Abdul akaHarmonize Mei, 25 2024.

Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama kutoka kwa Msanii wa Kizazi Kipya Rajab Abdul aka Harmonize katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Mei,25 2024.

Wasanii pamoja na Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Albamu ya Muziki wa Mama ya Msanii wa Kizazi Kipya Rajab Abdul aka Harmonize katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Mei, 25 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here