Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA PSC~AU

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA PSC~AU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi M Dk. Hussein Ali Mwinyi pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania na wa Afrika Mashariki ukiimbwa kwenye Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam leo Mei, 25 2024.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Kikwete akiwa kwenye Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Mei, 25 2024.

Rais Mstaafu wa Burundi Domitien Ndayizeye akiwa kwenye Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Mei, 25 2024.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk. Moses Kusiluka akiteta jambo na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhandisi Zena Said wakati wa Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Mei, 25 2024.

Viongozi mbalimbali wakishiriki Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Mei, 25 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here