Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA NCHINI UFARANSA

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA NCHINI UFARANSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Dk. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa Mei, 14 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Dk. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa Mei,14 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo Rais wa Sierra Leone Julius Maada Bio mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa Mei, 14 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye ni Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Afrika akishiriki Mkutano huo wa Kimataifa Mei, 14 2024 katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika uliofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa Mei, 14 2024. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here