Home AFYA BAJETI YA WIZARA YA AFYA YAPITISHWA KWA KISHINDO!

BAJETI YA WIZARA YA AFYA YAPITISHWA KWA KISHINDO!

Bunge la Tanzania Limeridhia kwa kishindo kwa asilimia mia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa kuidhinisha jumla ya Shilingi Shilingi trilioni moja, bilioni mia tatu kumi na moja, milioni mia nane thelathini na saba, laki nne na sitina na sita elfu (1,311,837,466,000.00) ili kuweza kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa Mwaka wa Fedha 2024 /2025.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here