Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA CRCC, DAI HEGEN

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA CRCC, DAI HEGEN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa China Railway Construction Corporation (CRCC) Ndugu Dai Hegen ambaye ameongozana na Viongozi wengine pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Chen Mingjian, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar Mei, 11 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mwenyekiti wa China Railway Construction Corporation (CRCC) Ndugu Dai Hegen wakati wa kikao kilichojumuisha Viongozi wa CRCC na CCECC kutoka China, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar Mei, 11 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliowahusisha Viongozi wa China Railway Construction Corporation (CRCC) na China Civili Engineering Construction (CCECC) Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar Mei, 11 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa China Railway Construction Corporation (CRCC) na China Civili Engineering Construction (CCECC) na Balozi wa China nchini Tanzania,Chen Mingjian mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar Mei, 11 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here