Home KITAIFA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AFUNGUA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA UWT...

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AFUNGUA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA UWT NA MADIWANI WANAWAKE UNGUJA-ZANZIBAR

NaMwandishi wetu, Zanzibar

MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar Hemedi Suleiman Abdullah Leo Mei, 11×2024 amefungua Mafunzo kwa viongozi wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) na Madiwani Wanawake Unguja Zanzibar yaliyofanyika katika ukumbi wa Nyamazi, Dimani Zanzibar

Mafunzo hayo yametolewa kwa makatibu wa UWT ngazi ya Wadi,Majimbo pamoja na Madiwani Wanawake wa Kuteuliwa Unguja- Zanzibar.

Viongozi Mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Pius Chatanda (MCC), Makamu wa Mwenyekiti wa UWT, Zainab Khamis Shomari (MNEC), Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi, Mohamed Rajab, Wajumbe wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa kutoka UWT, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mgeni Hassan Naibu Katibu Mkuu wa UWT-Zanzibar, Tunu Kondo Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji la Baraza Kuu la UWT, pamoja na Baadhi Wajumbe baraza kuu la UWT Wamehudhuria Mafunzo hayo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here