Home KITAIFA MATUKIO KATIKA PICHA-UZINDUZI MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

MATUKIO KATIKA PICHA-UZINDUZI MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.

Hafla hiyo inafanyika leo Mei, 8, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Kaulimbiu: “Nishati Safi ya Kupikia kwa kila Mtanzania”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here