Home KITAIFA RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA WAPCOS YA INDIA

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA WAPCOS YA INDIA

Na Mwandishi wetu, Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na RK Agrawal Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya ushauri WAPCOS Ltd kutoka Serikali ya India na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar tarehe: 07 Mei 2024.

Amesema Zanzibar inahitaji miradi mingi ya uwekezaji katika sekta ya maji na umeme.

Kwa upande mwingine Rais Dk.Mwinyi ameishukuru Serikali ya India kwa kuisaidia Zanzibar katika miradi ya maji.

Naye Mkurugenzi RK Agrawal amesema wako tayari kuendelea kushirikiana na Serikali katika miradi hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here