Home KITAIFA DK.MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA RAIS WA SOMALI

DK.MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA RAIS WA SOMALI

Na Mwandishi wetu,Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutokana na kifo cha Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Dk.Hassan Sheikh Mohamud.

Viongozi hao walikutana le Aprili, 29 2024 Ikulu , Migombani.

Mzee Mwinyi alifariki dunia Februari,29 2024 Dar es Salaam na kuzikwa Machi, 2 2024 kijijini kwake Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Rais Dk.Mwinyi amemshukuru Rais Dk.Mohamud kwa salamu za mkono wa pole na kuja kuwafariji.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here