Home KITAIFA TFS YATETA NA MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA YANADI FURSA LUKUKI ZA MISITU,...

TFS YATETA NA MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA YANADI FURSA LUKUKI ZA MISITU, NYUKI NA UTALII IKOLOJIA

Na Mwandishi wetu, Pwani

WAHIFADHI wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wakitoa wasilisho la fursa za Uwekezaji zilizopo katika sekta ya Misitu, Nyuki na Utalii Ikolojia katika Mkutano wa Mabalozi wa Tanzania katika mataifa ya nje (AMBASSADORS RETREAT, 2024) Aprili,24 2024 katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha Mkoani Pwani.

Pia wahifadhi hao waliwapatia vipeperushi vyenye maelezo zaidi kwaajili ya kuweka kwenye balozi zao huku wakielezwa pia juu ya uwepo wa Mkutano wa 50 wa Apimondia ambao Tanzania ni mwenyeji kwa mwaka 2027 na kuwaomba kuunganisha nguvu katika kufanikisha Mkutano huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here