Home KITAIFA RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS WA COMORO

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS WA COMORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Comoro, Azali Assoumani Ikulu Jijini Dar es Salaam Aprili, 26 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MSamia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema Ikulu Jijini Dar es Salaam Aprili, 26 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera uliowasilishwa na Makamu wa Rais wa Nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here