Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS DK. MOHAMUD

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS DK. MOHAMUD

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Dk. Hassan Sheikh Mohamud na Ujumbe wake yaliyofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam Aprili, 27 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MSamia Suluhu Hassan na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia,Dk. Hassan Sheikh Mohamud wakizungumza na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari mara baada ya Mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tAprili, 27 2024.

Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Dk. Hassan Sheikh Mohamud akikagua gwaride wakati wa mapokezi rasmi katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam Aprili 272024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Dk. Hassan Sheikh Mohamud wakati alipowasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam Aprili, 27 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here