Home KITAIFA GWARIDE LA HESHIMA LA MIAKA 60 YA MUUNGANO

GWARIDE LA HESHIMA LA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Gwaride la Heshima la Miaka 60 ya Muungano lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Aprili, 26 2024

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakiwa kwenye kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Aprili, 26 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here