Home KITAIFA MJADALA BAJETI WIZARA YA NISHATI UNAENDELEA BUNGENI ASUBUHI HII

MJADALA BAJETI WIZARA YA NISHATI UNAENDELEA BUNGENI ASUBUHI HII

MJADALA wa Bajeti ya Wizara ya Nishati unaendelea asubuhi hii bungeni Jijini Dodoma katika Mkutano wa Kumi na Tano Kikao cha Kumi na Nne

Mjadala huo ulianza jana kufuatia Hoja ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Shilingi 1, 883, 759, 455, 000 kwa mwaka fedha 2024/2025 kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here