Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI

RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania, Fatou Harerimana wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania Aprili,23 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here