Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA MABALOZI

RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA MABALOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania Nchi za Nje kwa njia ya Mtandao (Video Call) walipokuwa kwenye Mkutano unaojadili kuhusu Mkakati wa Diplomasia ya Umma na Tathmini ya kiutendaji (Retreat) uliofanyika Kibaha Mkoani Pwani Aprili, 22 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here