Home KITAIFA DKT. BITEKO AWASILI PEMBA

DKT. BITEKO AWASILI PEMBA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amewasili Kisiwani Pemba na kupokelewa na Waziri ofisi ya Makamu wa Rais, Sera, Uratibu na Bunge, Hamza Hassan Juma kwaajili ya shughuli za maandalizi ya maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofikia kilele chake Aprili, 26 2024.

Akiwa Kisiwani humu Dk. Biteko ataweka jiwe la Msingi wa Ujenzi wa kituo cha Afya, Shehia ya kinyikani wilaya ya Wete, Pembe.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here