Home KITAIFA TANZANIA NA ZAMBIA WASAINI HATI YA TAMKO LA PAMOJA

TANZANIA NA ZAMBIA WASAINI HATI YA TAMKO LA PAMOJA

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Zanzibar, Omar Shaaban (kulia) akiwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Zambia , Chipoka Mulenga (kulia) wakisaini na kuonesha Hati ya Tamko la Pamoja la kutatua changamoto za kibiashara baina ya ncho hizo wakati wa Mkutano wa tatu wa Kamati ya Pamoja ya Biashara baina ya Tanzania na Zambia ngazi ya Mwaziri uliofanyika Tunduma-Tanzania Aprili 18, 2024.

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Zanzibar, Omar Shaaban (kulia) akiwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Zambia, Chipoka Mulenga (kulia) wakikabidhiana Hati ya Tamko la Pamoja la kutatua changamoto za kibiashara baina ya ncho hizo na kutakiana heri katika utekelezaji wake wakati wa Mkutano wa tatu wa Kamati ya Pamoja ya Biashara baina ya Tanzania na Zambia ngazi ya Mwaziri uliofanyika Tunduma-Tanzania Aprili 18, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here