Home KITAIFA BODI YA MFUKO WA BARABARA YAUNDA MABARAZA KWA WAFANYAKAZI

BODI YA MFUKO WA BARABARA YAUNDA MABARAZA KWA WAFANYAKAZI

Na Mwandishi Wetu@Lajiji Digital

KAIMU Mtendaji Mkuu Bodi ya mfuko wa Barabara , Rashidi Kalimbaga amewataka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA )pamoja na Wakala wa Barabara Nchini (TANROAD) kutumia vizuri fedha zinazotolewa na mfuko wa barabara kwa ajili ya utengenezaji wa barabara.

Ameyasema hayo leo Aprili 16, 2024mkoani Morogoro walipokuwa katika uzinduzi wa baraza la wafanyakazi ambapo ameeleza wakala hao wanatakiwa kutumia vizuri fedha hizo kwani matumizi yake ni katika utengenezaji wa barabara tu hasa katika maeneo korofi.

Naye Hindu Augossy ambaye ni Katibu mteule wa baraza hilo amewataka wafanyakazi wote kufanya kazi kwa ushirikiano ili kufikia malengo waliyojiwekea

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here