Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ATAMBELEA MAJIRANI ZAKE WA ZAMANI

RAIS DK.SAMIA ATAMBELEA MAJIRANI ZAKE WA ZAMANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na majirani zake wa zamani, Asha Salum Abdallah ambaye walisoma wote Shule ya Msingi na Sekondari na mume wake Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi Rashid Zam Ali pamoja na Binti yao na mjukuu alipotembelea majirani zake wa zamani mtaa wa Mombasa, Unguja Zanzibar, Aprili, 15 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here