Home KITAIFA MAONESHO YA WIKI YA NISHATI YAANZA RASMI BUNGENI DODOMA

MAONESHO YA WIKI YA NISHATI YAANZA RASMI BUNGENI DODOMA

Na Mwandishi wetu, Dodoma

MAONESHO ya Wiki ya Nishati yameanza rasmi katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

Katika picha ni Wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Taasisi zake wakiwa tayari kutoa huduma kwa Wabunge na Wananchi watakaohudhuria Maonesho husika.

Maonesho hayo yameaanza leo Aprili 15 yatahitimishwa Aprili 19 2024..

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here