Home KITAIFA MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MAONESHO YA WIKI YA NISHATI 2024

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MAONESHO YA WIKI YA NISHATI 2024

Na Mwandishi wetu, Dodoma

MKE wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mbuge wa Jimbo la Mchinga (CCM) ametembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

Akiwa katika Banda la Wizara ya Nishati, Mama Salma Kikwete ameipongeza Wizara kwa kuandaa Maonesho hayo na hasa kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here