Home KITAIFA DK. BITEKO AZINDUA VITUO VYA KURUSHIA MATANGAZO YA TBC TAIFA NA BONGO...

DK. BITEKO AZINDUA VITUO VYA KURUSHIA MATANGAZO YA TBC TAIFA NA BONGO FM

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo Aprili, 15 2024 amezindua vituo vya kurushia matangazo vya TBC Taifa na Bongo FM.

Uzinduzi huo umefanyika Loliondo, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kwa niaba ya vituo vingine vya Uvinza, Kyela, Makete na Mbinga.

Viongozi wa Serikali na wadau mbalimbali wa Sekta ya Habari na Mawasiliano wamehudhuria.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here