Home KITAIFA DK.NCHIMBI AANZA ZIARA YA MIKOA SITA NCHINI

DK.NCHIMBI AANZA ZIARA YA MIKOA SITA NCHINI

KATIBU Mkuu wa CCM Balozi Dk, Emmanuel Nchimbi na ujumbe wake amewasili asubuhi hii mkoani Katavi kuanza ziara ya mikoa sita nchini. Katika ziara hii anaongozana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala na Katibu wa idara ya Organaizesheni, Issa Ussi Gavu

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here