Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI MIAKA 40 SOKOINE

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI MIAKA 40 SOKOINE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Mkoani Arusha Aprili, 12 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here