Home KITAIFA RAIS DK. SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA MAUAJI YA KIMBARI.

RAIS DK. SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 30 YA MAUAJI YA KIMBARI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye eneo la Makaburi kwa ajili ya kuweka shada la maua wakati wa Maadhimisho ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda. Maadhimisho hayo ya miaka 30 yamefanyika katika Makumbusho ya Mauaji ya Kimbari, Kigali nchini Rwanda na kuhudhuriwa na viongozi kutoka nchi mbalimbali Aprili, 7 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here