Home MICHEZO RAIS DK.SAMIA AMKABIDHI KARIA MFANO WA HUNDI MILIONI 500.

RAIS DK.SAMIA AMKABIDHI KARIA MFANO WA HUNDI MILIONI 500.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia mfano wa Hundi ya Shilingi milioni 500 kwa ajili ya Mashindano yanayohusu Timu za Taifa za Tanzania Ikulu Jijini Dar es Salaam. Fedha hizo zimetolewa na Wafanyabiashara wa Zanzibar katika kumuunga mkono Rais Samia kwenye michezo Aprili,4 2024. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here