Home KITAIFA DKT. BITEKO AFUTURISHA JIMBONI BUKOMBE

DKT. BITEKO AFUTURISHA JIMBONI BUKOMBE

Na Mwandishi wetu, Geita

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe Aprili, 4 2024 ameshiriki Iftari na makundi mbalimbali ya Wananchi jimboni humo mkoani Geita ikiwa ni ishara ya upendo kwa wananchi hao na tukio la ukarimu katika mwezi Mtukufu wa Ramadhan unaoendelea.

Iftari hiyo ilihudhuriwa na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Dk. Abubakar Zuber Bin Ally na viongozi wengine wa dini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here