Home KITAIFA RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA

RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akigusa screen ya iPad kuashiria uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Aprili, 3 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here