Home KITAIFA HALMASHAURI KUU TAIFA CCM IMEFANYA MADILIKO

HALMASHAURI KUU TAIFA CCM IMEFANYA MADILIKO

Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imekutana leo Aprili,3 jijini Dar es Salaam katika kikao chake maalum,chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na masuala mengine wamefanya mabadiliko madogo ya sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM kwa kuchagua wajumbe

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here