Home KITAIFA DKT. BITEKO AHANI MSIBA WA MKE WA MZEE GACHUMA

DKT. BITEKO AHANI MSIBA WA MKE WA MZEE GACHUMA

Na Mwandishi wetu, Mara

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko Machi, 31 2024 amefika kijijini Komaswa, wilayani Tarime mkoani Mara ili kuhani msiba wa aliyekuwa Askofu wa New Life Gospel Community Church (NLGCC), Marehemu Fransisca Mwita Gachuma ambaye alikuwa mwenza wa Ndugu Christopher Gachuma, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ( NEC) Taifa kutokea Mkoa wa Mara.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko aliambatana na Mkewe, Mama Bernadetha Biteko.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here